- 1,872 viewsDuration: 2:55Wabunge wamepitisha mswada wa hazina ya miundo msingi ya kitaifa ya mwaka wa 2026, inayolenga kueleza namna ambavyo shilingi trilioni 5 za hazina hiyo zitakavyosimamiwa na kutumika. Katika mabadiliko yaliyofanyika bungeni leo, baraza simamizi la hazina hiyo sasa litabuniwa huku mamlaka ya waziri wa hazina kuu yakipunguzwa.