- 4,343 viewsDuration: 2:54Kaunti ya bungoma ilitumia shilingi milioni 3.6 kuwasha taa ya mti wa krismasi. Haya yamefichuliwa mbele ya maseneta wa kamati ya uhasibu ambao sasa wanataka tume ya kupambana na ufisadi eacc kuwakamata waliohusika na kashfa hiyo. Aidha gavana wa kaunti hiyo Ken Lusaka pia alikabiliwa na maswali kuhusu ujenzi wa uwanja wa Masinde Muliro, ambao umekwama licha ya muda wa kukamilika kupita.