Bungoma: Msimu wa kuvuna ukingoa nanga wakulima waomba vifaa vya kukausha mahindi

  • | NTV Video
    40 views

    Msimu wa kuvuna unapotarajiwa kunoa nanga hasa katika maeneo ya magharibi, wakulima wa mahindi kutoka Kaunti ya Bungoma wameitaka serikali kuwapa vifaa vya kukausha zao hilo ili kuwaepushia hasara wanayopata wakati na baada ya mavuno.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya