Skip to main content
Skip to main content

Burnham Waziri mkuu mpya Uingereza. Atadumu?

  • | BBC Swahili
    1,063 views
    Duration: 7:34
    Uingereza ina waziri mkuu mpya, na ni waziri mkuu wa tano katika muda wa miaka minne tu. Andy Burnham amemrithi Keir Starmer aliyejiuzulu mapema mwezi Juni kufuatia matokeo duni ya uchaguzi wa mitaa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw