CA yatakiwa kuishinikiza kampuni ya Telkom kulipa deni lake

  • | KBC Video
    49 views

    Kamati ya bunge la taifa kuhusu uwekezaji katika huduma za umma sasa inaitaka halmashauri ya mawasiliano humu nchini,CA kutumia mamlaka yake kushinikiza kampuni ya Telkom Kenya kulipa deni la shilling billion 4.9 inadaiwa na halmashauri hiyo.Wabunge walimtaka mkurugenzi wa halmashauri hiyo David Mugonyi kueleza ni kwa nini halmashauri hiyo haiwezi kuzima mitambo ya Telkom Kenya,ilhali ilikuwa na haraka kuzima matangazo ya televisheni wakati wa maandamano dhidi ya serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive