Chama cha ANC chaunga mkono mazungumzo baina ya Rais William Ruto na muungano wa Azimio

  • | Citizen TV
    264 views

    Hayo yakiarifiwa, chama cha ANC pia kimeunga mkono mazungumzo baina ya Rais William Ruto na muungano wa Azimio. Hata hivyo chama hicho kinaonya kuwa mazungumzo hayo yasiwe ya viongozi kujitafutia nafasi za ajira. Viongozi wa chama hicho wanataka ajenda ya mazungumzo hayo kulenga masuala ya kitaifa.