Skip to main content
Skip to main content

Chama Cha Chungwa chaongeza umaarufu wake kulingana na utafiti wa kampuni ya kura ya maoni ya TIFA

  • | Citizen TV
    831 views
    Duration: 3:06
    Chama cha ODM ndicho chama maarufu zaidi nchini kulingani na utafiti wa kampuni ya kura ya maoni ya TIFA. Kulingana na utafiti huo, chama cha chungwa kiomeongeza umaarufu wake na sasa kina asilimia 20, huku kikifuatiwa na chama cha UDA. Kinara wa chama hicho Oburu Oginga amesema kuwa ODM bado haijafanya uamuzi wa ni nani itamuunga mkono katika uchaguzi wa urais mwaka wa 2027.