Chama cha DNA chapokea wanachama wa vuguvugu la kikao

  • | Citizen TV
    259 views

    Chama cha Democratic National Alliance (DNA) kimewapokea rasmi wanachama wa vuguvugu la vijana la kikao na kuzindua kitengo cha vijana cha DNA youth movement kwa malengo ya kuonyesha dhamira ya dna katika kukuza uongozi wa vijana na ushirikishwaji wa kila mtu katika masuala ya kitaifa