Mataifa manane ya Afrika yenye utajiri wa madini

  • | BBC Swahili
    0 views
    Wakati makampuni ya kigeni yakiendelea kukusanya mabilioni ya dola kutokana na madini Africa, Bara hilo linasalia katika dimbwi la umaskini na ukosefu wa ajiŕa miongoni mwa vijana wake. Nchi nyingi za Kiafrika zina madini muhimu ambayo kwa sasa yanahitajika sana na ni madini adimu duniani. Je nchi hizo ni zipi na madini hayo yanawanufaisha wananchi wake? @davidnkya255 anaelezea kwa kina Makala hii unaweza kuipata kwa urefu zaidi kupitia YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #afrika #madini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw