Gavana wa Kericho Erick Mutai matatani baada ya hoja ya kumng’atua kuletwa Bungeni

  • | Citizen TV
    795 views

    Gavana wa Kericho Erick Mutai kwa mara nyingine anakodolea macho uwezekano wa kutimuliwa, baada ya ilani ya hoja ya kumng’atua kuwasilishwa bungeni tena hii leo. Ilani hiyo ikimlaumu gavana Mutai kwa makosa matano likiwemo utumiaji mbaya wa mamlaka yake kama Gavana