Msafara wa Mpesa Sokoni wakoleza maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini

  • | Citizen TV
    89 views

    Msafara wa Mpesa sokoni umeendeleza msisimko wa sherehe za maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Msafara huu ulibeba ujumbe wa MPESA kutoka kwa watangazaji wa radio citizen katika ziara yake ya Mlolongo na Kajiado kwa madhumuni ya kuwahusisha wateja wa Safaricom katika shamrashamra zinazoendelea kote nchini