Familia ya mwanamke aliyeuawa na afisa wa polisi Kanyonyoo, Kitui yalilia haki

  • | Citizen TV
    758 views

    Familia ya mwanamke aliyeuawa na afisa wa polisi aliyekuwa rafikiye inalilia haki ikitaka afisa huyo aliyetoroka kukamatwa na kushtakiwa. Joy Mutisya, ambaye ni Mama wa watoto wawili aliuawa eneo la Kanyonyoo kaunti ya Kitui