Chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi wa sekta ya mawasiliano kinashinikiza nyongeza ya mshahara

  • | KBC Video
    14 views

    Chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi wa sekta ya mawasiliano-COWU kinashinikiza nyongeza ya mshahara wa wafanyikazi wote baada ya hazina ya malipo ya uzeeni-NSSF kuongeza kiasi cha pesa zinazokatwa kama michango kwa NSSF kuanzia mwezi Februari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News