Skip to main content
Skip to main content

Chama cha madaktari, KAP, kimekutana na wataalamu wa afya kujadili ongezeko la magonjwa sugu

  • | NTV Video
    72 views
    Duration: 1:28
    Chama cha Madaktari nchini, KAP, kimewakutanisha wataalamu wa afya jijini Nairobi kujadili ongezeko la magonjwa sugu ya moyo na kisukari, hasa katika mataifa yenye kipato cha chini na cha kati. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya