Chama cha Maendeleo Ya Wanawake kubuni vyama vya hazina na mikopo

  • | KBC Video
    51 views

    chama cha Maendeleo Ya Wanawake kinapania kubuni vyama vya hazina na mikopo katika hatua inayolenga kuwakimu wanawake kifedha. chama hicho kinasema kuwa kupitia matawi yake katika maeneo ya mashinani na uwakilishaji katika wadi, chama hicho kitafanikisha utoaji huduma za kifedha kupitia vyama vya ushirika na mikopo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News #WorldCupIkoKBC