24 Oct 2025 10:27 am | Citizen TV 1,661 views Duration: 2:34 Chama cha mawakili nchini LSK kimefunga mara moja baadhi ya afisi za mawakili mjini Malindi kaunti ya Kilifi ambazo zinadaiwa kuhudumu kinyume cha sheria.