Skip to main content
Skip to main content

Chama cha mawakili nchini LSK kinaandaa uchaguzi wake hii leo kote nchini

  • | Citizen TV
    371 views
    Duration: 4:25
    Chama cha mawakili nchini LSK kinaandaa uchaguzi wake hii leo kote nchini... Shughuli ya kupiga kura imeanza katika vituo vya kupiga kura huku mawakili wakijitokeza kuwachagua viongozi watakaoendesha shughuli za LSK. Miongoni mwa wanaotafuta kiti cha Raisi wa chama hicho ni Peter Wanyama, Charles Kanjama na Mwaura Kabata. Muda rasmi wa kampeni ulikamilika hapo jana ili kutoa nafasi ya kura ya leo.. Shughuli ya kupiga kura inaendeshwa na tume ya uchaguzi IEBC na kuwashirikisha mawakili 18,000 kote nchini....Washindi wanatarajiwa kutangazwa baadaye leo shughuli ya kupiga kura itakapokamilika