Chama cha Mudavadi chajiunga rasmi na UDA cha Ruto

  • | Citizen TV
    1,030 views

    Chama cha ANC kinachoongozwa na Musalia Mudavadi kimejiunga rasmi na Chama cha UDA cha Rais William Ruto baada ya mkutano wa baraza la viongozi na wanachama wa Chama hicho kufanyika kaunti ya Lamu.