Chama cha UDA chaanza kuwasajili wanachama vijana

  • | KBC Video
    20 views

    Chama cha United Democratic Alliance, UDA kinawatafuta vijana watakaojihusisha katika siasa. Kupitia kitengo cha vijana wanachama wa UDA chama hicho kinataka kuwasajili wanachama katika vyuo vikuu, vyuo na vyuo vya mafunzo ya kiufundi kuhusika katika kuratibu ajenda ya maendeleo na siasa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive