Ndindi Nyoro aonya kuwa Kenya iko ukingoni mwa tatizo la madeni

  • | TV 47
    135 views

    Ndindi Nyoro, aonya kuwa Kenya iko ukingoni mwa tatizo la madeni.

    Nyoro ametaka marekebisho ya haraka katika usimamizi wa fedha za umma.

    Amesema zaidi ya Ksh 1T kutoka kwa bajeti ijayo italenga malipo ya riba pekee.

    Serikali inapania kukopa shilingi bilioni 900 za ziada mwaka huu.

    Wabunge wanatarajiwa kujadili mswada huo mwezi ujao.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __