Chama cha walimu chataka wakuu wa usalama wajiuzulu

  • | Citizen TV
    295 views

    Chama cha KUPPET tawi la Mombasa limetaka maafisa wa DCI waliomkamata nyumbani mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang' na kisha kumsafirisha Nairobi wakamatwe.