16 Sep 2026 10:21 am | Citizen TV 52 views Chama cha Wamiliki wa Malori nchini, TAK, kimezindua tuzo za kutambua madereva na wadau wanaofanya vyema katika sekta ya usafirishaji mizogo, kwa lengo la kuchochea ushindani wa kimaendeleo na kuimarisha usalama barabarani.