- 58,940 viewsDuration: 56s“Hakuna kutishana wala kosa la kuzuia uchaguzi halipo Tanzania, hata wasemeje!” Hayo ni maelezo ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. - - #bbcswahili #lissu #chadema #uchaguzi #siasa #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw