Chama kipya cha kisiasa? | Viongozi wa 'Third Force' waonekana kujinoa kwa siasa

  • | Citizen TV
    206 views

    Viongozi wa mrengo mpya wa kisiasa wa Kenya moja sasa wanasema wanajiandaa kujipima nguvu kwa uwezekano wa kubuni chama kipya cha kisiasa. Viongozi hawa wanaojumuisha baadhi ya waliokuwa wanasiasa wa ODM na UDA wameonekana kujipigia debe na kuandaa mikutano kivyao. Lakini je, wanapanga kusajili ushirikiano wao kama Chama kwenye uchaguzi mkuu ujao