Skip to main content
Skip to main content

Chama tawala cha UDA kubuni muungano na ODM

  • | KBC Video
    4,492 views
    Duration: 3:58
    Baraza la kitaifa la chama tawala cha UDA limeidhinisha mpango wa kuandaliwa kwa mashauriano ya kubuni muungano na chama cha ODM kabla ya uchaguzi. Rais William Ruto, ambaye aliongoza mkutano maalum wa baraza hilo amesema kwa kuangazia ufanisi ambao utawala wake umeafikia kufikia sasa, mwafaka wa ushirikiano na ODM utamwezesha kuibuka kidedea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka-2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News