CHAN: Maelfu ya mashabiki wafurika Kasarani kuhudhuria fainali kati ya Madagascar na Morocco

  • | Citizen TV
    3,255 views

    Maelfu ya mashabiki sio tu kutoka nchini bali pia nje ya nchi walifurika katika uga wa Kasarani kuhudhuria fainali kati ya Madagascar na Morocco. Licha ya mechi hiyo kuanza mwendo wa saa kumi na mbili jioni mashabiki walianza kufika uwanjani saa sita mchana wengi wakihofia kungekuwa na msongamno mkubwa wa watu na kuchelewa kuingia uwanjan