Changamoto ya ukeketaji Kajiado

  • | Citizen TV
    103 views

    Ukeketaji wa wasichana na wanawake katika Kaunti ya Kajiado bado umekithiri, licha ya mila hiyo kuharamishwa nchini. Ripoti ya Utafiti wa Afya nchini inaonyesha kuwa ukeketaji katika Kaunti ya Kajiado umekithiri kwa 63%. hali hiyo imesababisha idara ya Mahakama kushirikiana na wadau wengine kufanya vikao Kajiado kuzungumzia umuhimu Wa kuripoti visa hivyo na vingine vya dhuluma za kijinsia. Nancy Kering ametuandalia taarifa hiyo.