Changamoto za kibinaadam zinashuhudiwa eneo la Nyando

  • | Citizen TV
    1,913 views

    Shule ya msingi ya Ombaka, ambayo imekuwa ikitumika kama hifadhi wa waathiriwa wa mafuriko huko kisumu, kwa sasa imejaa watu huku baadhi yao wakikita mahema kwenye uwanja wa shule baada ya mto Nyando kuvunja kingo zake . Hayo ni huku, serikali bado ikisisitiza kuwa wanoishi kando ya mito na maziwa kuhama ili kuepuka athari za mafuriko.