Changamoto za utekelezaji wa katiba | Wanaharakati wateta kuhusu katiba kuhujumiwa

  • | Citizen TV
    258 views

    Kenya inapoadhimisha miaka 15 ya katiba ya sasa, mashirika ya kijamii yameelezea wasiwasi wake kuhusu kile wanachotaja kuwa mapungufu makubwa katika utekelezaji wake. Mashirika haya sasa yakisema kuwa vipengee muhimu haswa vinavyoangazia haki za binadamu na uongozi bado havijatekelezwa ipasavyo