Skip to main content
Skip to main content

Chanjo ya ugonjwa wa miguu na mdomo ya mifugo yatolewa Kajiado

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 8:17
    Idara ya Mifugo katika kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na benki ya Dunia hii leo inazindua Rasmi chanjo ya mifugo ya Miguu na Mdomo maarufu foot and mouth ambayo inalenga zaidi ya Ng'ombe millioni moja katika kila pembe ya Kaunti hiyo. Kwenye hafla hiyo ambayo inaandaliwa katika eneo la Oloosuyan iliyoko Kajiado ya kati pia nembo ya kutambulisha Ng’ombe wote itazinduliwa ambayo inalenga kuwatambulisha mifugo hao na walimiki wao ili kupungza visa vya wizi wa mifugo.