Uchunguzi unaendelea kubaini chanzo cha moto ulioteketeza mali ya mamilioni ya fedha na kuwaacha watu kadhaa bila makao siku ya Alhamisi jioni katika nyumba za makazi za Katani Villas eneo la Katani, kaunti ya Machakos. Mwenyekiti wa nyumba hizo, Elias Omondi, amesema familia zilizoathiriwa sasa zinategemea majirani na nyumba ambazo hazina watu kwa ajili ya malazi na kuhifadhi mali zao zilizookolewa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive