Charles Marieri kutoka Kayole ndiye mshindi wa Shabiki Supa Jackpot

  • | Citizen TV
    370 views

    Charles Marieri kutoka eneo la matopeni, kayole ndiye mshindi wa shabiki supa jackpot bonus. Marieri alibashiri mechi 13 kati ya15 kwa usahihi na ametia mfukoni shilingi 402,038. kitita cha shilingi Milioni 5.7 bado kinashindaniwa kwani tangu jackpot hii kuzinduliwa mwezi disemba mwaka jana, hakuna aliyebashiri kwa usahihi mechi 15 kati ya 15 ili kujizolea fedha hizo ambazo huongezeka kila wiki.