Chifu mashakani Kiambu

  • | Citizen TV
    7,034 views

    Hali ya Taharuki imetanda katika eneo la karanji, Limuru kaunti ya kiambu,baada ya wakaazi wenye ghadhabu kuandamana hadi katika boma la naibu chifu wa eneo hilo. Kulingana na wakaazi hao,Chifu huyo anadaiwa kumuua jamaa mmoja baada ya kumkamata akiiba katika shamba lake