Chifu mstaafu anazuiliwa kwa mauaji ya mwanamume

  • | Citizen TV
    339 views

    Chifu Mstaafu Simon Maingi, anazuiliwa na polisi katika Kituo cha Polisi cha Chuka kwa tuhuma za kumuua mwanaume mwenye umri wa miaka 43.