- 11,335 viewsDuration: 2:34SHAMBULIZI GARISSA Huduma ya taifa ya polisi imeanzisha msako kufuatia shambulizi hatari katika eneo la Hulugho, kaunti ya Garissa lililosababisha kifo cha chifu pamoja na mwalimu. Kupitia taarifa leo, polisi walithibitisha tukio hilo wakisema operesheni ya pamoja inayohusisha vitengo kadhaa vya usalama imeanzishwa ili kuwasakama na kuwakamata wauaji. Mwalimu aliyefariki alikuwa akifundisha katika shule ya msingi ya Hulugho huku marehemu chifu akihudumu katika kata ya Boma. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive