Chifu wa kata Nkiito, Narok Kusini akabiliwa na wakaazi

  • | Citizen TV
    1,715 views

    Chifu wa kata ya Nkiito eneo bunge la Narok Kusini aliponea chupuchupu baada ya wakazi kumvamia kwa kupinga ujenzi w adaraja duni.