Chifu wa kwanza mwanamke kutawazwa katika manispaa ya Kakamega

  • | Citizen TV
    1,920 views

    Hali ya furaha ndio taswira iliyoshuhudiwa Katika Kijiji cha rostermine lokesheni ya shirere eneo bunge la lurambi Kakamega baada ya phanice achenza kutawazwa kama chifu wa Kwanza mwanamke Katika manispaa ya mji huo. Kulingana na achenza ni kuwa ni kupitia bidii ya utekelezaji wa majukumu yake Katika lokesheni hiyo mpya na hatimaye kufanya vyema kwenye mtihani wa waliokuwa wakimezea mate nyadhfa hiyo ndiko kulimwezesha kufaulu licha ya kazi hiyo kusheheni changamoto si haba ikiwemo usalama wa machifu na tatizo la usafiri kuhudumia umma.