Child Welfare Society of Kenya yatoa msaada wa dharura kwa shule 23 Baringo

  • | KBC Video
    12 views

    Shirika linaloangazia masilahi ya watoto nchini Kenya, Child Welfare Society of Kenya lilitembelea kaunti ya Baringo ili kutoa msaada wa dharura kwa shule 23. Watoto hao wa shule wamepata chakula cha kutosha kuwawezesha kusalia shuleni. Mpango huo utasaidia kupunguza ajira ya watoto, ndoa za utotoni na mimba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News