Skip to main content
Skip to main content

China yaanza kujitambulisha na kueneza mizizi yake Afrika

  • | KBC Video
    81 views
    Duration: 4:25
    China imeanzisha mikakati ya kujitambulisha na kueneza mizizi yake barani Afrika kupitia mpango wa kubadilishana habari ambapo waandishi wa habari wa Kiafrika wanapata fursa ya kuzuru na kushuhudia yaliyomo nchini humo. Wanahabari 28 kutoka Kenya, wanne kati yao kutoka Shirika la Utangazaji nchini-KBC walipata fursa ya kipekee kuhudhuria mpango mmoja kama huo ulioandaliwa na taasisi ya utafiti na mafunzo ya usimamizi wa Kitaifa wa Redio na Televisheni jijini Beijing. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive