Skip to main content
Skip to main content

Chuo cha Mafunzo Anuwai cha Murende eneo bunge la Matayos chapungukiwa na maziwa

  • | Citizen TV
    404 views
    Duration: 3:31
    Wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kukumbatia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kwa wingi ili kukidhi mahitaji ya bidhaa hiyo katika shule na vyuo vya mfunzo anuai. Uhaba wa maziwa katika chuo cha mafunzo anuai cha Murende eneo bunge la Matayos unatatiza juhudi za wanafunzi za utengenezaji mtindi au maziwa ya mgando licha ya kuwepo na mashine za kisasa za kufanikisha shughuli hiyo..