- 9 viewsDuration: 1:16Chuo cha kitaifa cha mafunzo anuwai cha Nyeri kimedhamiria kukumbatia mafunzo ya vigezo kama nguzo ya kufanikisha mtaala wa elimu ya umilisi. Muundo huu utawawezesha wanafunzi kupokea ujuzi kupitia vipindi wanavyoweza kumudu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive