Chama cha wazilisha wa mazao ya moja kwa moja kutoka shambani kimezindua taasisi yake katika shirika la utafiti wa kilimo na mifugo lililoko huko Gatanga, katika kaunti ya Murang’a, kwa lengo la kuwapa wakulima thamani ya ujuzi na biashara ili kuimarisha uzalishaji, kuboresha bidhaa na kupanua ufikiaji wa soko la kimataifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive