Chuo cha Masinde Muliro kimewasherehekea Maprofesa wake watatu wanaostaafu

  • | West TV
    37 views
    Chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha Masinde Muliro kimewasherehekea maprofesa watatu ambao wamekifanyia chuo hicho kazi kwa miaka sasa hadi wakatimu umri wa miaka sabini na minne wanaporuhusiwa kustaafu