Skip to main content
Skip to main content

Chuo kikuu cha Maasai Mara kushirikiana na Oxford katika mafunzo ya tamaduni za Maasai

  • | Citizen TV
    151 views
    Duration: 1:43
    Kama njia moja ya kuhifadhi mila na tamaduni ya jamii ya Maa Chuo kikuu cha Maasai Mara kaunti ya Narok kinalenga kushirikiana na chuo kikuu cha Oxford cha Uingereza kuanzisha kituo cha kuhifadhi na kutunza mila ya jamii ya Maasai.