Skip to main content
Skip to main content

Citizen TV yaendelea kutawala kama runinga inayotazamwa zaidi nchini

  • | Citizen TV
    734 views
    Duration: 2:27
    Runinga ya Citizen imeendelea kutamba katika nafasi ya kwanza, kama stesheni yenye watazamaji wengi zaidi humu nchini. Katika ripoti iliyochapishwa leo na Baraza la Wanahabari MCK, Citizen tv ilikuwa na asilimia 56 ya watazamaji....Redio Citizen inayomilikiwa na Royal Media Services pia iliibuka mshindi katika kitengo cha redio.