Copy of ”Mtu akiongea namsikia vizuri kuwa anaongea lakini siwezi kuelewa yale maneno”

  • | BBC Swahili
    628 views
    Rukia Jamal anasema changamoto ya usikivu hafifu hakuzaliwa nayo, ilianza taratibu lakini baada ya kujifungua Januari 2018 ndipo kwa mara ya kwanza tatizo lilizidi na masikio yake kuziba kabisa. Licha ya changamoto hiyo Rukia ameweza kutumia fursa katika mitandao ya kijamii kufanya biashara na kutoa elimu kwa jamii kuhusu usikivu hafifu Je usikivu hafifu ni nini? na anawezaje kufanya biashara katika hali hiyo? - Rukia Jamal anazungumza na @martha_saranga katika Waridi wa BBC kuanzia majira ya saa nane mchana na kujibu maswali yote. - - - #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw