- 790 viewsDuration: 2:39Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Central Organisation of Trade Unions (Kenya) (COTU) umemkosoa kinara wa DCP Rigathi Gachagua kwa matamshi yake kuwa COTU imeshindwa kutetea maslahi ya wafanyakazi. COTU inasema Gachagua hana haki ya kuingilia masuala ya wafanyakazi, hasa kuhusiana na azma yake ya kushinikiza muungano mbadala.