COTU yataka serikali kutotoza ushuru marupurupu ya wafanyakazi

  • | KBC Video
    17 views

    Serikali imeyaonya vikali mashirika laghai ya uajiri na pamoja na makundi haramu ya uajiri kuwa yatakabiliwa vikali kisheria. Waziri wa leba Dkt. Alfred Mutua amesema wahalifu wanachafua sifa ya Kenya kwa kuwalaghai vijana wanaojaribu kutafuta fursa bora za ajira nje ya nchi. Mutua aliyasema haya huku muungano wa vyama vyama vya wafanyikazi nchini ukiisihi serikali kutoza ushuru mshahara badala ya marupurupu mengine katika mshahara jumla. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu ana maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News