- 424 viewsDaktari mmoja katika hospitali huko Gaza amesambaza kanda ya video inayoonyesha sehemu zilizojaa msongamano wa watu waliojeruhiwa huku vita vya sasa kati ya Israel na Hamas vikiendelea. Video hiyo, ilichukuliwa Ijumaa iliyopita, iliwaonyesha wagonjwa, waliokuwa wamefanyiwa upasuaji, wakiwa wamesimama katika maeneo mbalimbali ya Hospital ya Shifa huko Gaza City. Katika moja ya picha hizo, mtu mmoja anaonekana akiwa amelala kwenye kitanda kilicho tapakaa damu. Dkt. Marwan Abusada, ambaye ni mkuu wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Shifa, alisema kuwa hospitali hiyo ilikuwa imeelemewa na wagonjwa na kulikuwa hakuna chumba kupokea wagonjwa wapya. Shifa is one of the main hospitals in the northern half of the Gaza Strip. Shifa ni moja ya hospitali kadhaa kuu katika nusu ya upande wa kaskazini mwa Ukanda wa Gaza. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesihi kuwepo na sitisho la haraka la mapigano ili kuruhusu misaada kuingia katika eneo la Wapalestina, wakati chakula, maji na mafuta yanayohitajika kwa ajili ya majenereta yanayotoa umeme hospitalini yakiwa yanakwisha. (AP) #israel #gaza #iran #reels #igreels #voa #hamas
Daktari asambaza video ikionyesha msongamano hospitalini watu waliojeruhiwa
- 17 Aug 2025 - European leaders will join Ukrainian President Volodymyr Zelensky during his visit to Washington on Monday seeking an end to Moscow's invasion, after President Donald Trump dropped his push for a ceasefire following an Alaska summit with Russian leader…
- 17 Aug 2025 - Uganda has inaugurated its first large-scale gold mine, a $250 million Chinese-owned project in the country's east that will also refine the bullion to 99.9% purity, according to a statement from the president's office.
- 17 Aug 2025 - Whether in a sports jersey or a suit, Kenyan President William Ruto is casting himself as a model supporter of the national football team as an international tournament provides respite from recent bloody protests against his regime.
- 17 Aug 2025 - Security has been heightened along the Thika Superhighway near the Moi International Sports Centre, Kasarani, ahead of Kenya’s Harambee Stars match against Zambia’s Chipolopolo.
- 17 Aug 2025 - LPG-powered cars are gaining popularity in the country.
- 17 Aug 2025 - Schools are set to reopen for the third term from next week.
- 17 Aug 2025 - Kenya plays Zambia today, August 17, at Moi Stadium, Kasarani
- 17 Aug 2025 - A strong police deployment was visible along Thika Superhighway near the Moi International Sports Centre, Kasarani, ahead of
- 17 Aug 2025 - Raila had demanded the transfer of the functions.
- 17 Aug 2025 - A section of Members of Parliament (MPs) allied to the Orange Democratic Movement (ODM) have criticised their party