- 2,133 viewsDuration: 1:02Dkt. Suhail Anjum alikiri kumwacha mgonjwa akiwa na ganzi wakati wa upasuaji ili kufanya mapenzi na muuguzi katika chumba kingine katika Hospitali ya Tameside mnamo Septemba 2023. - Ingawa hakuna madhara yaliyompata mgonjwa, Dkt. Anjum alikubali kuwa kitendo chake kilikuwa kina kumuweka mgonjwa hatarini na alisema kuwa ni “aibu kubwa.” - 🎥: @frankmavura anaelezea Zaidi kisa hiki - - - #bbcswahili #afya #daktari #maadili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw